Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Hivi huyu ni mtoto wa Prof Anyangnyong'o yule mwanasiasa wa Kenya swahiba wa Laila Odinga au majina tu yamefanana?
Ni mwanae.........swahiba wa Raila Odinga ndio........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu ni mtoto wa Prof Anyangnyong'o yule mwanasiasa wa Kenya swahiba wa Laila Odinga au majina tu yamefanana?
Hivi huyu ni mtoto wa Prof Anyangnyong'o yule mwanasiasa wa Kenya swahiba wa Laila Odinga au majina tu yamefanana?
Brad Pitt hajaoa
Si hapo tu tandare kwa tumbo ila kwa wazazi wake ni magomeni mapipa baba yake ndo anamiliki ule mjengo wa ghorofa nyingi pale posta hauja mjua tuu!
Si hapo tu tandare kwa tumbo ila kwa wazazi wake ni magomeni mapipa baba yake ndo anamiliki ule mjengo wa ghorofa nyingi pale posta hauja mjua tuu!
hahahahahahahajahahahaha
firigisi za nini Excel maana aina nyingi na zote ni halali
zipo nyingine bana!! zile special kabisa! zinaliwa lakini haziishi!
kila siku ziko hizo hizo, na zinaliwa muda wowote jamani!!
fikiria bana!! too mene chilidiren ini hia!
Hivi huyu ni mtoto wa Prof Anyangnyong'o yule mwanasiasa wa Kenya swahiba wa Laila Odinga au majina tu yamefanana?
Ni mwanae.........swahiba wa Raila Odinga ndio........
Yap ni mwanae,hiyo profile ya wikipedia wamechemsha kumwita Mexican-Kenyan.Kuna gazeti la UK walimwandika kama mkimbizi kutoka Jamaica wakenya wakalalamika sana
Hivi huyu ni mtoto wa Prof Anyangnyong'o yule mwanasiasa wa Kenya swahiba wa Laila Odinga au majina tu yamefanana?
hahahahahahahajahahahaha
Sasa huyu uzuri wake ni huo weusi au,?
Sasa huyu uzuri wake ni huo weusi au,?
They have children together.Sometimes parents they have to put selfishness pembeni.Regardless they are adopted or not whatever they are still children.They need both parents care and love.Brad Pitt hajaoa.Angeliana nae aliiba kwa mtu ( Jennifer ) unaambiwa Amefika kwa Lupita gazeti la Hollywood entertainment lili report " Mwanaume akimsogelea tu anawaambia stay away from my girl " hata Mimi ningekuwa Lupita ningetoka nae .Sometimes kufanikiwa inabidi u take risk