Brad Pitt ametoka kwa Lupita Nyong'o na anatengeneza movie ili Lupita awe leading lady

Hivi huyu ni mtoto wa Prof Anyangnyong'o yule mwanasiasa wa Kenya swahiba wa Laila Odinga au majina tu yamefanana?

Yap ni mwanae,hiyo profile ya wikipedia wamechemsha kumwita Mexican-Kenyan.Kuna gazeti la UK walimwandika kama mkimbizi kutoka Jamaica wakenya wakalalamika sana
 
Si hapo tu tandare kwa tumbo ila kwa wazazi wake ni magomeni mapipa baba yake ndo anamiliki ule mjengo wa ghorofa nyingi pale posta hauja mjua tuu!

HAHAHAHAHAAAA!!! Kongosho kapatikana!

miluzi mingi ndo hupoteza dogi!

lupita kwa taarifa yenu ni mkurya wa tarime kabisa!!!!

halafu amekeketwa!!
 
Last edited by a moderator:
firigisi za nini Excel maana aina nyingi na zote ni halali

zipo nyingine bana!! zile special kabisa! zinaliwa lakini haziishi!

kila siku ziko hizo hizo, na zinaliwa muda wowote jamani!!

fikiria bana!! too mene chilidiren ini hia!
 
zipo nyingine bana!! zile special kabisa! zinaliwa lakini haziishi!

kila siku ziko hizo hizo, na zinaliwa muda wowote jamani!!

fikiria bana!! too mene chilidiren ini hia!

hizo sizitaki kabisaaaaa ninazo zangu ziko made in igunga special for me
 
Hivi huyu ni mtoto wa Prof Anyangnyong'o yule mwanasiasa wa Kenya swahiba wa Laila Odinga au majina tu yamefanana?

Ni mwanae.........swahiba wa Raila Odinga ndio........

Yap ni mwanae,hiyo profile ya wikipedia wamechemsha kumwita Mexican-Kenyan.Kuna gazeti la UK walimwandika kama mkimbizi kutoka Jamaica wakenya wakalalamika sana

According to Kenyan newspaper, Standard Digital News, the father of Lupita Nyong'o – the stunning 12 Years of Slave actress – is super-proud of his daughter. Her father, Professor Peter Anyang Nyong'o, is currently a Senator in Kenya, representing Kisumu County – previously serving as Minister for Medical Services. Before his political career, he was a professor of Political Science at the University of Nairobi, before becoming Head of Programs at the African Academy of Sciences.
 
Huyo Brad Pitt naye atulie sasa, si kagonga 50 hivi karibuni au naota? Jua linakazana kuzama alee watoto.......
 
Hivi huyu ni mtoto wa Prof Anyangnyong'o yule mwanasiasa wa Kenya swahiba wa Laila Odinga au majina tu yamefanana?

ni huyo huyo....naaminia Lupita allfanikishwa na babake wakati alipokuwa waziri
 
Kweli sio kila thread lazima ufungue... Hapa bila bila.
 
They have children together.Sometimes parents they have to put selfishness pembeni.Regardless they are adopted or not whatever they are still children.They need both parents care and love.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…