Bradley Lowery is no more,pumzika kwa amani dogo

Rest in peace Bradley.
 
Daa jana defoe alikua akihojiwa alitoa machozi nimekua nimfuatilia sana huyu dogo inasikitiaha sana wazazi wake wapewe faraja na MUNGU
 

Six-year-old Bradley Lowery, whose plight touched the lives of many people, has died after a long illness.

The Sunderland fan was diagnosed with neuroblastoma - a rare type of cancer - when he was 18 months old.

Bradley went on to be the club's mascot and became "best mates" with his hero, striker Jermain Defoe. He also led England out at Wembley for a World Cup qualifier against Lithuania.

His death was confirmed on social media by his parents.

The posting read: "My brave boy has went with the angels today.

"He was our little superhero and put the biggest fight up but he was needed else where. There are no words to describe how heart broken we are.
 
RIP
 



Shabiki nguli wa Club ya Sunderland Bradley Lowery mwenye umri wa miaka 6 hatimaye hatuko naye tena duniani


Bradley amekuwa akisumbuliwa na kansa kwa muda mrefu ,Madaktari walishawahi kumtabiria kwamba angefariki mwezi wa nne lakini kwa mapenzi ya Mungu Bradley alifanikiwa kukipita salama kipindi hicho mpaka siku ya leo mauti yalipomkuta


Bwana alitoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe



R.I.P mtoto Mungu akuhifadhi kwenye mahala palipopema zaidi .


Ameeen
 
Ooh Mwenyezi Mungu nasema akhsante kwa kunifikisha mpaka leo hii,maana sina nikupacho ambacho mtoto huyu asingeweza kukupa,bali naamini ni upendo na neema yako ya pekee inayotuongoza.
R.I.P mtoto Bradley Lowery.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…