Bradley Lowery is no more,pumzika kwa amani dogo

Bradley Lowery is no more,pumzika kwa amani dogo

R.I.P hakika tabasamu lake litaendelea kukumbukwa sana a little Hero
7bb57d62b06020519d6d84ca4fb30d44.jpg

Alikuwa anaaga hapo [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Watanzania ni wanafiki sana. Tena sana. Eti kuna watu wanahoji mbona huyo dogo kapewa sana attention na media wakati huku kwetu wako wengi wanakufa wanapotezewa. HUU NI UNAFIKI. Huyo anaesema hivyo ukipitia nyuzi zake humu ndani, hana uzi hata unaopaza sauti yaje kuhusu watoto wanaokufa kwa malaria, kansa, uvimbe kichwani n.k....Ila nenda kule MMU uone vitu anavyopost utachoka..... Kama wewe binafsi umeshindwa kuonesha mfano unategemea wazungu wakufanyie hiyo kazi?!!! Kama kunitukana mnitukane tu ila Watanzania ni Wanafiki sana. TENA SANA.

R.I.P DOGO.
 
Back
Top Bottom