Bradley Lowery is no more,pumzika kwa amani dogo

Ni shabiki mkubwa wa Sunderland na aliambiwa wazi kabisa siku atakafariki

Iliwahi letwa thread humu ya kumtakia Merry Christmas...

RIP Bradley Lowery


Akiwa na Lukaku

Akiwa na team aliyoishabikia






By Deadbody wa JamiiForums
 
Daah. Raha ya milele umpe bwana na mwanga wa milele umwangazie!
 
Dhaa!!! Rest in peace dogo
 
Yan huyo mtoto ndo aliambiwa siku ya kufa au? Na ilikuwaje hadi akaambiwa siku ya kufa? Na Ni cancer ya aina gani hiyo jaman? Naomba kueleweshwa
 
To b honest hii taarifa kwangu imenitoa machozi. Nimeumia sana, pole kwa familia take na club aliyoipenda ya Sunderland.

Raha ya milele uumpe eeh bwana na mwanga wa milele umwangazie. Pumzika kwa amani dogo Bradley.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…