Watanzania ni wanafiki sana. Tena sana. Eti kuna watu wanahoji mbona huyo dogo kapewa sana attention na media wakati huku kwetu wako wengi wanakufa wanapotezewa. HUU NI UNAFIKI. Huyo anaesema hivyo ukipitia nyuzi zake humu ndani, hana uzi hata unaopaza sauti yaje kuhusu watoto wanaokufa kwa malaria, kansa, uvimbe kichwani n.k....Ila nenda kule MMU uone vitu anavyopost utachoka..... Kama wewe binafsi umeshindwa kuonesha mfano unategemea wazungu wakufanyie hiyo kazi?!!! Kama kunitukana mnitukane tu ila Watanzania ni Wanafiki sana. TENA SANA.
R.I.P DOGO.