Kuna una mpango wa kuja ku raise fund (kuuza hisa za kampuni yako) tumia jina moja
Kama alivyofanya Vunjabei.Kuwa mkubwa kibiashara kuna faida sana.ila kabla ya kufanya hivyo watafute wataalamu wa kodi uli ujue jinsi ya kulipa kodi kidogo au kutolipa kabisa kihalali.
Huwezi piga mpunga mrefu kwenye biashara kama hujui kukwepa kodi kisheria .yes watu wanakwepa kisheria .
Mfano mzuri messi na Uber na shakila hawalipi kodi hat tsh 1.
Trump juzi kamzika x wake kwenye kiwanja chake cha golfu ili asilipe tena kodi ya ardhi kwenye hilo eneo.