Branch office or subsidiary company

Branch office or subsidiary company

lilraq12345

Member
Joined
May 25, 2017
Posts
19
Reaction score
35
Ili biashara ikue na kuingiza kipato zaidi ni bora kufungua branch au kuanza kwa Jina lingine
 
Kuna una mpango wa kuja ku raise fund (kuuza hisa za kampuni yako) tumia jina moja

Kama alivyofanya Vunjabei.Kuwa mkubwa kibiashara kuna faida sana.ila kabla ya kufanya hivyo watafute wataalamu wa kodi uli ujue jinsi ya kulipa kodi kidogo au kutolipa kabisa kihalali.


Huwezi piga mpunga mrefu kwenye biashara kama hujui kukwepa kodi kisheria .yes watu wanakwepa kisheria .

Mfano mzuri messi na Uber na shakila hawalipi kodi hat tsh 1.

Trump juzi kamzika x wake kwenye kiwanja chake cha golfu ili asilipe tena kodi ya ardhi kwenye hilo eneo.
 
Kwangu ni bora kuwa na subsidiary company kuliko kuwa na branch office. Kuna athari ya moja kwa moja hasa kwa customer base katika branch office mfano ukipata attack katika biashara yako ujue itapiga kwote lakini kwa upande wa subsidiary company kunakua na nafuu kidogo.
 
Jibu inategemea na aina ya biashara na vigezo vya kikodi
 
Back
Top Bottom