Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,362
Wadau samahani,
Nauliza ni jiko lipi la gesi ambalo kioo chake hakivunjiki na kuchoma gesi vizuri. Nauliza hili because jiko langu nililonunua mwaka jana limevunjika kioo hivi karibuni na kidogo tujifiche chini ya uvungu kwa kuzani ni majambazi ya Vikindu yamehakia nyumbani kwangu, kwani lilitoa mlipuko mkubwa na kupasuka pasuka kioo na kubaki chengachenga zilizosambaa jiko zima.
Kwa wenye kufahamu brands watujuze.