Prishaz
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 2,898
- 5,020
Achana na hayo ya vioo nunua yenye top ya bati either westpoint, sony, au nikai.Ata hilo lililopasuka likikuwa na hyo tabia..nmerekebisha kule chini wapiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na hayo ya vioo nunua yenye top ya bati either westpoint, sony, au nikai.Ata hilo lililopasuka likikuwa na hyo tabia..nmerekebisha kule chini wapiiii
ila la kioo linavutia zaidi kulinganisha na batiAchana na hayo ya vioo nunua yenye top ya bati either westpoint, sony, au nikai.
We jamaa na wewe ni Wa Dar.. Huku kwetu Mara mama alikuwa Mikono mitupu akawateka majambazi na kuchukua silaha...Jambia halitakusaidia mkuu if watu wamekuja na manati ya mzungu..usije ukamake hyo mistake tena...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] afu wengi ni body builderMijanaume ya mikoani kula ugali wa dona na mtama ikapiga bao 5 ndo inaona maisha imeyaweza.
Kg 15 kwa 10 Month?Nina westpoint la kioo tangu 2013 na liko poa sana. Moto wa blue, gesi natumia miez 10 mtungi wa 15kg. NB: upate original.
Miezi 10! Utakuwa unapika weekend tu!Nina westpoint la kioo tangu 2013 na liko poa sana. Moto wa blue, gesi natumia miez 10 mtungi wa 15kg. NB: upate original.
Napika almost kila siku, labda itokee nisafiri kwa siku chache. Pia mara chache chache nachemsha hadi beans.Miezi 10! Utakuwa unapika weekend tu!
Vp liko vizuri au magumashi?Aborder
Mkuu usitazame sura, tazama tabia. Sura ikishaigia ndani huwa haionekani, bali tabia ndio huwa very conspicuous!Bati mzee yanasura mbaya