Tukio lilitokea wakati unapika au??. Jikoblako ni aina gani?. Jaribu HITACH au ZEC. Tsh. 120,000.Wadau samahani...nauliza ni jiko lipi la gesi ambalo kioo chake hakivunjiki na kuchoma gesi vizuri...nauliza hili because jiko langu nililonunua mwaka jana limevunjika kioo hivi karibuni na kidogo tujifiche chini ya uvungu kwa kuzani ni majambazi ya Vikindu yamehakia nyumbani kwangu...kwani lilitoa mlipuko mkubwa na kupasuka pasuka kioo na kubaki chengachenga zilizosambaa jiko zima...kwa wenye kufahamu brands watujuze...
I mean jiko lako ni aina ganTukio lilitokea wakati unapika au??. Jikoblako ni aina gani?. Jaribu HITACH au ZEC. Tsh. 120,000.
Nashukuru kwa ushauri mkuuMwanaume wa Dar unadhani ukijificha chini ya uvungu ndo majambazi hayatakuona? kujificha huko ni common sana nakushauri siku wakija vaa wigi na gauni watakusamehe wakidhani demu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ingekuwa kwetu huku.. Hyo version ingesomeka...Mwanaume wa Dar unadhani ukijificha chini ya uvungu ndo majambazi hayatakuona? kujificha huko ni common sana nakushauri siku wakija vaa wigi na gauni watakusamehe wakidhani demu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo inayowapangia kila kitu nyie wa mikoani huko, tatzo wa mikoani mnadhani kuwa mwanaume lazima uwe miguvu kama simba... what we have ni akili za kutuongoza maishani mwetu nyie na hyo miguvu yenu mtabaki kulinda mageti yetu sie mnaotuita waoga tumelala ndani tuliiiiMijanaume ya Dar inaboa kinoma noma
Limegonga kunakoNdo inayowapangia kila kitu nyie wa mikoani huko, tatzo wa mikoani mnadhani kuwa mwanaume lazima uwe miguvu kama simba... what we have ni akili za kutuongoza maishani mwetu nyie na hyo miguvu yenu mtabaki kulinda mageti yetu sie mnaotuita waoga tumelala ndani tuliiii
Jambia halitakusaidia mkuu if watu wamekuja na manati ya mzungu..usije ukamake hyo mistake tena...Ingekuwa kwetu huku.. Hyo version ingesomeka...
"Nlivyoskia mlipuko.. Nkavuta jambia fasta.. Nkachomoka na mkuki.. Tayari kwa kusambartsha mtu.. Daah Kumbe jiko limezingua ..likankata stimu knouma "
westpoint hadi apate og lakiniTafuta Westpoint au Nikai. Hutojutia pesa yako.
Mijanaume ya mikoani kula ugali wa dona na mtama ikapiga bao 5 ndo inaona maisha imeyaweza.Jiwe
Limegonga kunako
Acha wivu mkuu[emoji23] [emoji23]Mijanaume ya mikoani kula ugali wa dona na mtama ikapiga bao 5 ndo inaona maisha imeyaweza.
Ata hilo lililopasuka likikuwa na hyo tabia..nmerekebisha kule chini wapiiiiTuna jiko la Gesi lunatoa Moshi hatari, sufuria zote zimechafunga na Moshi ni bora hata kupika jiko la Mkaa, Tatizo lake hata Sijuih Kwa mwenyewe uelewa wa ili Tatizo anasaidia.