Brand gani ya T-shirt plain ambazo hazipauki kwa haraka

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Habari zenu wadau
Nimekuja kwenu ili nipate msaada nipate Tshirt plain hasa nyeupe ambazo nitazitumia kuprint tangazo kwa ya biashara yangu
Mara ya kwanza nilichukua Hot basic manga sababu ni bei rahisi nilinunua nyingi nikaziprint nyingi nikagawia watu baada ya muda mafupi naona Tshirt zile zimepauka sana hazitamaniki
Kwa sasa nataka nipate T-shirt chache ila ziwe na ubora nawakaribisha wenye uzoefu hasa wakufanya printing
 
Subiri wataalam waje kutoa majibu
 
PUMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…