Brand ipi ya Printer ni nzuri kwa matumizi madogo ya nyumbani?

Brand ipi ya Printer ni nzuri kwa matumizi madogo ya nyumbani?

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Wakubwa shkamooni wadogo habari zenu...

nawaza niongeze printer ili process ya input na output ikamilike, naomba mnijuze ni ipi brand nzuri ya printer kwaajili ya matumizi madogo ya nyumbani.
 
Inauzwa bei gani mkuu
Inauzwa bei gani?
L18050 ni Tsh 1,500,000/= mpaka Tsh 1,700,000/=



L8050 ni Tsh 700,000/= mpaka Tsh 900,000/=
FB_IMG_1731429715955.jpg
FB_IMG_1731429729873.jpg
 
Unataka printer tu au printer yenye scanner? Faida ya printer yenye scanner ni kutoa copy chache chache nyumbani.

Pia inabidi kuangalia upatikanaji wake wa wino na gharama pia.

Kuna baadhi ya printer gharama ya wino ni sawa na kununua printer nyingine.
 
Back
Top Bottom