Brand ipi ya Printer ni nzuri kwa matumizi madogo ya nyumbani?

Brand ipi ya Printer ni nzuri kwa matumizi madogo ya nyumbani?

Unataka printer tu au printer yenye scanner? Faida ya printer yenye scanner ni kutoa copy chache chache nyumbani.

Pia inabidi kuangalia upatikanaji wake wa wino na gharama pia.

Kuna baadhi ya printer gharama ya wino ni sawa na kununua printer nyingine.
Nimeangalia L8050 nimeona afadhali gharama zake pamoja na wino ni affordable
 
Wakubwa shkamooni wadogo habari zenu...

nawaza niongeze printer ili process ya input na output ikamilike, naomba mnijuze ni ipi brand nzuri ya printer kwaajili ya matumizi madogo ya nyumbani.
EPSON, HP

Kwa colour nzuri ya picha ni EPSON, Kwa maandishi na speed ni HP
 
Ikiwa full tank ambayo ni almost 20k to 30k inaweza kuprint colored copy 2000+ za A4

Ambayo sawa na Tsh 10 mpaka Tsh 15 per page
Hiyo ni affordable kabisa mkuu, ngoja niende nijaribu ku bagain kama itakuwa 900
 
Kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani

Chukua EPSON L3250 na mfano wake

Bei zake ni 450000
 
Hiyo ni affordable kabisa mkuu, ngoja niende nijaribu ku bagain kama itakuwa 900
Mcheki huyu nahisi yuko Dah!! Anaanza na 800+
Screenshot_20241114-131226_Facebook.jpg
Screenshot_20241114-131243_Facebook.jpg
 
Hiyo L8050 inafanya kazi zote 3: Print, Scan, Copy?

-Kaveli-
 
Kabla ya kununua printer Kuna Mambo ya kuzingatia,
Upatikanaji wa wino au catridge hapo tunaangalia urahisi wa kupatikana na Bei yake
Mpaka kubadilisha wino au catridge inakuwa umechapa karatasi ngapi
Matumizi yako.
Kuna printer Kama canon au Epson Bei zake ni kuanzia 35000 na Zina scanner na photocopy.
 
Nimepata ambayo bei ya wino wake na vifaa vingine sio kubwa
 
Back
Top Bottom