Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
mkuu, pia inatoa vizuri picha na maandishi yenye rangi?Chukua Epson L8050
Ni printer nzuri na utunzaji wake ni bei ndogo.
Wino wake unaanzia 3000
Yap!! Ni printer moja matata. Tatizo lake ni speed ndogo tu.mkuu, pia inatoa vizuri picha na maandishi yenye rangi?
Speed sio tatzo maana ni kazi binafsi tu, Nashukuru kwa kunijuza mkuu ngoja nifuatilie nijue upatikanaji wakeYap!! Ni printer moja matata. Tatizo lake ni speed ndogo tu.
Inaprint mpaka PVC card
Huko wapi?Speed sio tatzo maana ni kazi binafsi tu, Nashukuru kwa kunijuza mkuu ngoja nifuatilie nijue upatikanaji wake
Nipo dsmHuko wapi?
Inauzwa bei gani mkuuChukua Epson L8050
Ni printer nzuri na utunzaji wake ni bei ndogo.
Wino wake unaanzia 3000
Bei sijui exactly kwani zinatofautiana maeneo na maeneo.Inauzwa bei gani mkuu
Kwa Dar ukienda Kariakoo maduka kibao yanauza.Nipo dsm
Inauzwa bei gani?Chukua Epson L8050
Ni printer nzuri na utunzaji wake ni bei ndogo.
Wino wake unaanzia 3000
Bei sijuiInauzwa bei gani?
Sawa mkuu, nitapitia maduka kadhaa ili nilinganishe beiKwa Dar ukienda Kariakoo maduka kibao yanauza.
Kwa Sanga
Laptop City
Discount Kubwa
Hayo ni baadhi
Inauzwa bei gani mkuu
L18050 ni Tsh 1,500,000/= mpaka Tsh 1,700,000/=Inauzwa bei gani?
Mkuu nimepita dukani leo, nimeona hii mashine L8050 ipo vyema sanaL18050 ni Tsh 1,500,000/= mpaka Tsh 1,700,000/=
L8050 ni Tsh 700,000/= mpaka Tsh 900,000/=View attachment 3150605View attachment 3150606
Bei ni sh ngapi??Mkuu nimepita dukani leo, nimeona hii mashine L8050 ipo vyema sana
985,000/=Bei ni sh ngapi??
Hiyo bei imesimama saaana. Jaribu maduka tofauti tofauti985,000/=