Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #21
Nimeangalia L8050 nimeona afadhali gharama zake pamoja na wino ni affordableUnataka printer tu au printer yenye scanner? Faida ya printer yenye scanner ni kutoa copy chache chache nyumbani.
Pia inabidi kuangalia upatikanaji wake wa wino na gharama pia.
Kuna baadhi ya printer gharama ya wino ni sawa na kununua printer nyingine.
Nitazidi kuangalia mara kadhaa mkuuHiyo bei imesimama saaana. Jaribu maduka tofauti tofauti
Japo 900 itapendezaNitazidi kuangalia mara kadhaa mkuu
Ikiwa full tank ambayo ni almost 20k to 30k inaweza kuprint colored copy 2000+ za A4Nimeangalia L8050 nimeona afadhali gharama zake pamoja na wino ni affordable
EPSON, HPWakubwa shkamooni wadogo habari zenu...
nawaza niongeze printer ili process ya input na output ikamilike, naomba mnijuze ni ipi brand nzuri ya printer kwaajili ya matumizi madogo ya nyumbani.
Naona EPSON ndyo iko vyemaEPSON, HP
Kwa colour nzuri ya picha ni EPSON, Kwa maandishi na speed ni HP
Hiyo ni affordable kabisa mkuu, ngoja niende nijaribu ku bagain kama itakuwa 900Ikiwa full tank ambayo ni almost 20k to 30k inaweza kuprint colored copy 2000+ za A4
Ambayo sawa na Tsh 10 mpaka Tsh 15 per page
Mcheki huyu nahisi yuko Dah!! Anaanza na 800+Hiyo ni affordable kabisa mkuu, ngoja niende nijaribu ku bagain kama itakuwa 900
Hapo ni epsonWakubwa shkamooni wadogo habari zenu...
nawaza niongeze printer ili process ya input na output ikamilike, naomba mnijuze ni ipi brand nzuri ya printer kwaajili ya matumizi madogo ya nyumbani.
Kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani
Chukua EPSON L3250 na mfano wake
Bei zake ni 450000
Tayari nimepata L8050Kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani
Chukua EPSON L3250 na mfano wake
Bei zake ni 450000
Nimepata L8050Mcheki huyu nahisi yuko Dah!! Anaanza na 800+View attachment 3152120View attachment 3152121
Yeah, exactly3 functions: Print, Scan, Copy?
-Kaveli-
Hii nomaa...Kuna pia hii Epson L18050 sema nasikia bei yake imesimama kidogo.
Nimepata ambayo bei ya wino wake na vifaa vingine sio kubwaKabla ya kununua printer Kuna Mambo ya kuzingatia,
Upatikanaji wa wino au catridge hapo tunaangalia urahisi wa kupatikana na Bei yake
Mpaka kubadilisha wino au catridge inakuwa umechapa karatasi ngapi
Matumizi yako.
Kuna printer Kama canon au Epson Bei zake ni kuanzia 35000 na Zina scanner na photocopy.
Mkuu nashukuru sana kwa kunijulisha kuhusu L8050, tayari nimechukua chombo na kazi imeanza....Ikiwa full tank ambayo ni almost 20k to 30k inaweza kuprint colored copy 2000+ za A4
Ambayo sawa na Tsh 10 mpaka Tsh 15 per page
Mkuu nashukuru sana kwa kunijulisha kuhusu L8050, tayari nimechukua chombo na kazi imeanza....
Shukran sana mkuu