Brand New 13000mAh Power Bank for only Tshs 70,000/=

Brand New 13000mAh Power Bank for only Tshs 70,000/=

Samahani wengine tuko mikoani (RUVUMA) hatujawahi ona vitu hivyo wala kusikia. Hicho kidudu kinasaidia nini hasa mkuu?
 
Samahani wengine tuko mikoani (RUVUMA) hatujawahi ona vitu hivyo wala kusikia. Hicho kidudu kinasaidia nini hasa mkuu?

Hiki kifaa kinafanya kazi badala ya charger yako kama uko mahali ambapo huwez kucharge simu yako, kwahiyo unakicharge chenyewe na unakua nacho mfukon au kwenye bag. Kila muda ambao simu yako inaisha charge utakitumia kukicharge na simu itajaa tena. Matumizi yake lanaenda hadi siku kumi ila inategemea na utumiaji wako. Kwa nchi za wenzetu ni technolojia ya kawaida na wanaitumia sana, kwetu ndo imeanza kuingia. Asante!
 
Samahani wengine tuko mikoani (RUVUMA) hatujawahi ona vitu hivyo wala kusikia. Hicho kidudu kinasaidia nini hasa mkuu?

Power Bank, nikifaa unakicharge kwenye umeme kicha unakuwa nacho Safarini , matembezini sasa simu ikiisha chaji wewe unatoa power bank yako iliyojaa juice then unaconnect simu yako kwenye power bank ndipo simu inaanza kunywa chuice inayotoka kwenye power bank.

Unaweza kucharge power bank mara moja ila simu ukaichaji mara mpaka 5,8,10 inategemea na mah za simu na mah za power bank.

Mfano mm nina power bank ya mah 20,000 na simu una mah 2300. So ntacharge kama mara nne au 3
 
Kila kampuni ya kutengeneza simu ina power bank yake au zinaingiliana?
 
Back
Top Bottom