INAUZWA Brand New Cisco Switch WS-C3650-48

INAUZWA Brand New Cisco Switch WS-C3650-48

CYTON TECH

Member
Joined
Jan 23, 2019
Posts
40
Reaction score
21
WS-C3650-48TD-E is next generation of enterprise-level stackable access layer switch and integrates with 48 Gigabit Ethernet ports and 2 x 10G SFP+ & 2 x 1G SFP uplink ports in LAN base feature set.

Serious Buyer Only: 0746494637

Kwa walio Uliza Picha Please check Below.

20220407_223019.jpg
20220407_223036.jpg
20220407_223056.jpg
 
Duh aisee imepauka kiaina,halafu kwa hio Bei yako ya mil 8 hapo umetudanganya boss.Uko chini Sana angalau kuanzia 10m utakua sawa hapo.
 
Duh aisee imepauka kiaina,halafu kwa hio Bei yako ya mil 8 hapo umetudanganya boss.Uko chini Sana angalau kuanzia 10m utakua sawa hapo.
Hakuna Picha iliyo Tumwa hapo Wala Bei. Model Number na Specification ndio zilizo tumwa kwa Wanao elewa wamewekewa Contact. Nyie wengine subirini kazi za Udalali.
 
Hakuna Picha iliyo Tumwa hapo Wala Bei. Model Number na Specification ndio zilizo tumwa kwa Wanao elewa wamewekewa Contact. Nyie wengine subirini kazi za Udalali.
Rangi yenyewe naona imepauka kimtindo kwny hio picha,fanya kuiongeza Bei mpk 10m boss.
 
Tangazo lako halitoboi Asubuhi ya kesho kama unabisha ngoja nimuite kiranja wa Zamu Moderator, Msikie kijana anasema tuangalie model number ndio ina picha
Huyo aliye Sema tumechat nae na amesema picha Zimepauka ndio niliye mwambia atume izo screen short na picha alizo tumiwa. Kwenye Tangazo tumetoa Model Number ya Product na Namba ya Simu tu Hatuja Post Picha.
 
Naona umenipunguzia tena mpk 9.3mil ,fanya 10mil biashara ikamilike leo hii hii usiku boss wangu
 
Wanachomaanisha hao tangazo lako halijakamilika kuna vigezo hujakamilisha
Tangazo linajieleza na Namba za Simu tumeweka kwa Ufafanuzi. Product Model Number imewekwa na imesha Elezwa kuwa n Brand New. Kuna Raia kaja Kasema alichati inbox akapewa picha na Bei ndio huyo nikamwambia atume Screen short ya namba sms aliyo chati. Tuanzie hapo.
 
IT bwana ,umetoa model tu mnajua mteja atajua labda mazuzu ambao hawana kazi nazo.
 
Back
Top Bottom