Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 740
mtu akuulize saivi unahitaji gesi kiasi gani au umeme kiasi gani kupika wali na mboga yake? utamjibu nini?
viazi gunia inategemea unavikaangaje ni bandika bandua au ndio ile ya kukaanga kidogo kidogo, magunia yapo aina nyingi
yenye ujazo wa ndoo tofauti, huwezi pewa jibu la moja kwa moja ila cha kuelewa na kuweka akilini ni kwamba hili jiko la gesi
ni zuri zaidi kuliko umeme,utaku nayo yote mawili in case gas imeisha bahati mbaya na una oda za viazi ila kama huna oda
gesi itabaki kuwa gesi hata siku 1 umeme hauwezi kuwa cheap kukuta gesi.
Huu utata naona mnaukuza sana
kama mtumiaji ametumia ya gas na umeme hawezi leta majibu rahisi tu pasipo na ushahidi wa kutosha
let say umeme wa 10000 utautumia kukangaa chipsi kiasi gani na gas mtungi saiz ya kati utadumu kwa muda gani na makadilio ya gunia ngapi za viazi vitakua vimekaangwa
tupeni mchanganuo zaidi