INAUZWA Brand new Gas Fryer na umeme kwa bei chee


Huu utata naona mnaukuza sana

kama mtumiaji ametumia ya gas na umeme hawezi leta majibu rahisi tu pasipo na ushahidi wa kutosha

let say umeme wa 10000 utautumia kukangaa chipsi kiasi gani na gas mtungi saiz ya kati utadumu kwa muda gani na makadilio ya gunia ngapi za viazi vitakua vimekaangwa

tupeni mchanganuo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…