Brand ya Kikwete imeshuka sana kwa tamaa zake!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Brand ya kikwete imeshuka sana kwa tamaa zake!

Kutaka kupewa kila kitu bure, kutumia wanafamilia wapo sasa Brand ya familia imeshuka sana na umebaki ku dharauliwa badala ya kuwa wazee wa taifa.

Kikwete Brand yake ya 1995-2005 sio hii alingara wakati wa mkapa tu!
 
Nikikutana nae siku moja, nitamwelezea jinsi navyomchukia hawezi kuibaghaza tanganyika kwa kiwango hiki
 
Anajari sasa? Hadi ahakikishe Riz1 anakua no 1.
Ndo atatulia huyu mzee.
 
Manake Ndio Angelikuwa msitari wa mbele kutafuta maridhiano na kuleta taifa pamoja. Lakini anaogopa hata kutoa kichwa nje 😂😂

Msiendekeze tamaa wadau, inavunja legacy vibaya sana…
 
Imekufa ndani na nje ya nchi,na analifahamu hilo .Huyu ni mtu ambaye angekuwa na uwezo mkubwa kutatua mgogoro uliopo sasa hivi.
 

Huyu bwana ndio enemy mamba moja wa nchi ya Tanzania . Mtamlaumu Samia lakini chanzo cha matatizo yote nchini ni huyu bwana. Kumbukeni kuwa chimbuko la matatizo yote haya ni Kikwete alipobariki ccm kumteua Samia kuwa mgombea bila kufuata utaratibu wa katiba ya ccm!! Bila yeye Samia asingekuwa Rais hivi leo na haya matatizo yasingekuwepo.
Na mpaka hivi sasa yeye ndio mshauri wake mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…