Brand ya mavazi

Brand ya mavazi

Njia zote ni nzuri mkuu ila naona namba 1 na namba 2 italeta impact ingawa hapo kwenye namba Moja nawapa mzigo wenye maduka ya jumla au wa rejareja?
Inategemea na mtaji wako wa kuanzia kwa chini ya TZS 1M unaweza kupata pieces 70+

Kwa hiyo namba maduka ya rejareja itakuwa ndiyo mazuri kuanza nayo.

Hapo sasa itabidi ufanye hesabu kwanza kujua uzalishaji utagharimu TZS ngapi na zitapatikana t-shirt ngapi.

Baada ya hapo sasa unaweza kuendelea kwa kujua hao wafanyabishara mtakubaliana wachukue asilimia ya mauzo ya jumla au kwa kila t-shirt.

Ukimaliza hapo ndiyo unaweza kujua hizo t-shirts 70+ zitaleta faida asilimia ngapi baada ya operational costs zote kutolewa.

Ukiwa na soko la uhakika ni biashara nzuri sana. Hasa kama ukipata wateja wa jumla ili pesa yako uipate mapema.
 
Wateja wa jumla wapo mm ni muuzaji wa nguo rejareja so najuana nao wateja wa jumla ila sijui bei wanayochukulia jumla
 
Kitu kilichonifanya nitake kufanya mishe hii ni kuona baadhi ya t-shirt tunazoletewa ni low quality yaan hazivutii machoni pia material yake ukifua mara mbili tatu inapauka
 
Sasa hapo ni vizuri kukusanya taarifa za uhakika kujua wafanyabiashara wa jumla wao kwa bei ya jumla t-shirt zinaenda kwa bei ipi.

Halafu ndiyo unaenda kwenye kampuni za uchapishaji kujua nako t-shirt moja au 100 pieces ni kiasi gani.

Ili ukipata majibu uwianishe na bei za jumla za t-shirt. Hapo ndiyo utajua kama itakuwa kuna uwezekano wa kupata faida.
 
Kitu kilichonifanya nitake kufanya mishe hii ni kuona baadhi ya t-shirt tunazoletewa ni low quality yaan hazivutii machoni pia material yake ukifua mara mbili tatu inapauka
Kwa dukani aina hiyo ya t-shirt bei ya mwisho kabisa kuuza ni TZS ngapi?
 
Kitu kilichonifanya nitake kufanya mishe hii ni kuona baadhi ya t-shirt tunazoletewa ni low quality yaan hazivutii machoni pia material yake ukifua mara mbili tatu inapauka
Habari fikiria kwanza ni kwanini zinaletwa low quality, je wafanyabiashara hawapendi kuleta quality nzuri? Uwezo wa kufanya manunuzi wa wateja wako ukoje?

Angalizo: Watz sio wazuri kustick na brands….. au kwa research ndogo tutaje brand zinazofanya Vizuri ni zipi tz? Local owned….? Je wewe binafsi unaweza kununua masweta anayefuma mama fulani walau manne kwa mwaka?

Kwa kuongeza: Kama una nia ya dhati na unapenda kutengeneza brand yako, tafadhali anza kidogo/anzia chini ukilisoma soko taratibu….. hatupangi kufeli, ila kufeli kupo… tunapopanga tupange na namna ya kuepuka hilo.

Kila la heri ndugu.
 
Upo sahihi wenye maduka wanaleta low quality sio mara zote wanakuwa wanachanganya low and high quality in same product
 
Habari fikiria kwanza ni kwanini zinaletwa low quality, je wafanyabiashara hawapendi kuleta quality nzuri? Uwezo wa kufanya manunuzi wa wateja wako ukoje?

Angalizo: Watz sio wazuri kustick na brands….. au kwa research ndogo tutaje brand zinazofanya Vizuri ni zipi tz? Local owned….? Je wewe binafsi unaweza kununua masweta anayefuma mama fulani walau manne kwa mwaka?

Kwa kuongeza: Kama una nia ya dhati na unapenda kutengeneza brand yako, tafadhali anza kidogo/anzia chini ukilisoma soko taratibu….. hatupangi kufeli, ila kufeli kupo… tunapopanga tupange na namna ya kuepuka hilo.

Kila la heri ndugu.
Naunga mkono hoja
 
Habari
Nataka kuanzisha brand yangu ya mavazi hususani t-shirt kama ilivyo Kwa jux African boy, au bdozen born to shine, Kwa mwenye uzoefu na hii industry anaweza kunipa ABC mfano uagizaji wa t-shirt na vitu gani vya kuzingatia Ili kupata t-shirt zenye ubora pia wapi Kwa Tanzania wanaprint zile graphic au t-shirt zinakuja tayari zimeprintiwa kingine soko la t-shirt lipoje Kwa Tanzania
Shirikiana na huyo mtaleta mrejesho
 
Back
Top Bottom