Kama ana mtaji auze tu nguo za kawaida akishakomaa kwenye biashara na kukuza mtaji ndio aanze kufikiria kujitengenezea brand yakeKwahy mkuu unashaur nn kwenye hii industry nn Cha kufanya
Inategemea na mtaji wako wa kuanzia kwa chini ya TZS 1M unaweza kupata pieces 70+Njia zote ni nzuri mkuu ila naona namba 1 na namba 2 italeta impact ingawa hapo kwenye namba Moja nawapa mzigo wenye maduka ya jumla au wa rejareja?
Wateja wa jumla wapo mm ni muuzaji wa nguo rejareja so najuana nao wateja wa jumla ila sijui bei wanayochukulia jumlaInategemea na mtaji wako wa kuanzia kwa chini ya TZS 1M unaweza kupata pieces 70+
Kwa hiyo namba maduka ya rejareja itakuwa ndiyo mazuri kuanza nayo.
Hapo sasa itabidi ufanye hesabu kwanza kujua uzalishaji utagharimu TZS ngapi na zitapatikana t-shirt ngapi.
Baada ya hapo sasa unaweza kuendelea kwa kujua hao wafanyabishara mtakubaliana wachukue asilimia ya mauzo ya jumla au kwa kila t-shirt.
Ukimaliza hapo ndiyo unaweza kujua hizo t-shirts 70+ zitaleta faida asilimia ngapi baada ya operational costs zote kutolewa.
Ukiwa na soko la uhakika ni biashara nzuri sana. Hasa kama ukipata wateja wa jumla ili pesa yako uipate mapema.
Sasa hapo ni vizuri kukusanya taarifa za uhakika kujua wafanyabiashara wa jumla wao kwa bei ya jumla t-shirt zinaenda kwa bei ipi.Wateja wa jumla wapo mm ni muuzaji wa nguo rejareja so najuana nao wateja wa jumla ila sijui bei wanayochukulia jumla
Kwa dukani aina hiyo ya t-shirt bei ya mwisho kabisa kuuza ni TZS ngapi?Kitu kilichonifanya nitake kufanya mishe hii ni kuona baadhi ya t-shirt tunazoletewa ni low quality yaan hazivutii machoni pia material yake ukifua mara mbili tatu inapauka
Amin mkuu inshallahBiashara nzuri, nakushauri no matter what happened fanya ifanikiwe
Sent from my itel A662L using JamiiForums mobile app
Habari fikiria kwanza ni kwanini zinaletwa low quality, je wafanyabiashara hawapendi kuleta quality nzuri? Uwezo wa kufanya manunuzi wa wateja wako ukoje?Kitu kilichonifanya nitake kufanya mishe hii ni kuona baadhi ya t-shirt tunazoletewa ni low quality yaan hazivutii machoni pia material yake ukifua mara mbili tatu inapauka
Naunga mkono hojaHabari fikiria kwanza ni kwanini zinaletwa low quality, je wafanyabiashara hawapendi kuleta quality nzuri? Uwezo wa kufanya manunuzi wa wateja wako ukoje?
Angalizo: Watz sio wazuri kustick na brands….. au kwa research ndogo tutaje brand zinazofanya Vizuri ni zipi tz? Local owned….? Je wewe binafsi unaweza kununua masweta anayefuma mama fulani walau manne kwa mwaka?
Kwa kuongeza: Kama una nia ya dhati na unapenda kutengeneza brand yako, tafadhali anza kidogo/anzia chini ukilisoma soko taratibu….. hatupangi kufeli, ila kufeli kupo… tunapopanga tupange na namna ya kuepuka hilo.
Kila la heri ndugu.
Shirikiana na huyo mtaleta mrejeshoHabari
Nataka kuanzisha brand yangu ya mavazi hususani t-shirt kama ilivyo Kwa jux African boy, au bdozen born to shine, Kwa mwenye uzoefu na hii industry anaweza kunipa ABC mfano uagizaji wa t-shirt na vitu gani vya kuzingatia Ili kupata t-shirt zenye ubora pia wapi Kwa Tanzania wanaprint zile graphic au t-shirt zinakuja tayari zimeprintiwa kingine soko la t-shirt lipoje Kwa Tanzania