Branding package

Branding package

echuma

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2010
Posts
311
Reaction score
80
Branding package ni kifurushi cha dizaini tofauti za printing ambazo unatengenezewa mahususi kwa ajili ya biashara yako
watu wengi wanaishia kutengeneza nembo (logo) na business card kwa kuhisi kuwa hivyo ndivyo vya muhimu kuliko vingine lakini ili biashara yako ikamilike unahitaji kufanya branding ya vitu vingi na baadhi ya sababu za kukufanya utumie package hii ni

1. Inapunguza gharama kwa kutengeneza vitu vyote kwa pamoja
2. Inapunguza kwa kiasi kikubwa uwezekano wa kufanyiwa
3. Inasimamia muonekano wake wa mwanzo sababu itakuwa imetengenezwa na mtu au sehemu moja hivyo haitabadilika
vitu kama rangi umbo hata dizaini yenyewe.
4. Huongeza ubora wa biashara na
5. hutoa maana ya biashara yako kupitia muonekano wako.

Legacy impresion company ndiyo kampuni pekee inayotoa huduma hii kwa kiwango cha hali ya juu kwa bei ya chini karibu sasa ujipatie Branding package ya biashara yako, zipo katika aina tatu basic branding ( office), promotion branding na premium branding.

mfano wa Basic ni kama

branding package 2.jpg
 
Mkuu Brand si ishu ya kitoto ni ishu ngumu sana, si kama unavyofikilia,
 
Sema kwa sababu ya Muda ila ningeshuka hapa Brand ilivyo, na kujenga brand si kitu ya siku moja na jarubu kusoma histori za brand mbalimbali Duniani kama wakina SONYna kazalika na jinsi walivyo jenga hio brnd zao, then utagundua kwamba kuna kazi sana,

NI KIPATA MUDA NITARUD KUELEZEA UGUMU ULIVYO NA JINSI YA KUJENGA BRAND YAKO ILA NI KAZI INAYO CHUKUA MIAKA
 
Usijali mkuu nimeisoma na kuielewa vizuri ndio maana nnaweza hata kufanya hivi kila kitu ni brand mkuu ila inategemea unaitoaje na unataka itoke vipi, muda na gharama vyote ni mipango, usipojua maana ya kupanga utapanga nini? hivyo branding ni muhimu kwa kila biashara no matter ni ngumu au kubwa kiasi gani hauwezi kukimbia nyoka akiingia ndani kwako kisa ni mkubwa na anatisha.

Tanzania inaingia kwenye soko la kimataifa inatakiwa ijue brand ni nini? na nini cha kufanya mimi sijatoa ushauri kuhusu branding ila nimetoa package za branding kwa upande wa alama.
 
Back
Top Bottom