BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,064
- 2,312
- Thread starter
- #101
Chief, Heshima Yako.Nataka nije dukani kuchagua
Kwa Sasa Tunafanya Online Business tuu, ila tupo mbioni kufungua duka.
Mteja anachagua bidhaa, tunamletea, kwa Dar analipa baada ya delivery.
Kwa Mikoani, Malipo, then tunatuma mzigo.
Karibu Sana Chief.