wameshaanza. jana nimeskia tangazo la airtel wakinabi bando lao jipya, wametumia lugha U900 inapendeza
Kama wanatumia hiyo phrase basi itabidi wamlipe au waingie nae contract. Ujue tanzania bado sana kwenye mambo ya copyrights na intellectual property. Huyu mzee asiachwe hivi hivi bila kunufaika na hilo tangazo la airtel.Hizo akili wanazo basi wanasubiri wamtumie bashite
True that. Alianza kuitwa kwenye live talk shows mbalimbali za tv na radio. Kiufupi alitoboa kiurahisi sana. Kutoka kua gate man mpaka kumiliki mipesa ya makampuni hahahahaKweli kabisa.Ni kama yule githeri man slow trend kwenye uchaguzi Kenya...saiv kawa millionea maana makampuni yamemtumia kwa matangazo.
Huyu jamaa ukiingia youtube yuko number #1 on trending for five days now. Nitashangaa makampuni mbalimbali ya kibiashara na watu wa marketing wasipomtumia huyu mzee kwenye biashara zao. I see an opportunity for both, huyu mzee na kampuni itakayomtumia.
Angalizo tu ni kwamba makampuni hayo wasimtumie na kumtelekeza. Apewe counseling na kama kweli ni. alcohol addict ashauriwe.
Kumbe dogo janja umejiunga JF? SorryKwani walifunga ndoa ili itrend? We vipi kiingozi. Kuna faida gani ya harusi kutrend?
Contact za Mzee tunazipata wapiHuyu jamaa ukiingia youtube yuko number #1 on trending for five days now. Nitashangaa makampuni mbalimbali ya kibiashara na watu wa marketing wasipomtumia huyu mzee kwenye biashara zao. I see an opportunity for both, huyu mzee na kampuni itakayomtumia.
Angalizo tu ni kwamba makampuni hayo wasimtumie na kumtelekeza. Apewe counseling na kama kweli ni. alcohol addict ashauriwe.