Brands za biashara mtumieni DR. LUIS SHIKA KIBIASHARA

Mwalupale

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
1,049
Reaction score
674
Huyu jamaa ukiingia youtube yuko number #1 on trending for five days now. Nitashangaa makampuni mbalimbali ya kibiashara na watu wa marketing wasipomtumia huyu mzee kwenye biashara zao. I see an opportunity for both, huyu mzee na kampuni itakayomtumia.

Angalizo tu ni kwamba makampuni hayo wasimtumie na kumtelekeza. Apewe counseling na kama kweli ni. alcohol addict ashauriwe.
 
Kweli kabisa.Ni kama yule githeri man slow trend kwenye uchaguzi Kenya...saiv kawa millionea maana makampuni yamemtumia kwa matangazo.
 
Mzee kafanikiwa kuifunika kabisa harusi ya Dogo Janja na shangazi yake Uwoya
Kwani walifunga ndoa ili itrend? We vipi kiingozi. Kuna faida gani ya harusi kutrend?
 
  • Thanks
Reactions: naa
Kweli kabisa.Ni kama yule githeri man slow trend kwenye uchaguzi Kenya...saiv kawa millionea maana makampuni yamemtumia kwa matangazo.
True that. Alianza kuitwa kwenye live talk shows mbalimbali za tv na radio. Kiufupi alitoboa kiurahisi sana. Kutoka kua gate man mpaka kumiliki mipesa ya makampuni hahahaha
 
Sawa....lakn usalama wake unaweza kuwa mdogo zaidi ya mwanzo alipokuwa kimyaaa
 
u 900 itapendeza ya airtel inabid wamlipe Dr. luis shika au laa sisi wanasheria wabobevu tiwafanyie airtel mambo ya msondo na diamond
 
Huyu jamaa ukiingia youtube yuko number #1 on trending for five days now. Nitashangaa makampuni mbalimbali ya kibiashara na watu wa marketing wasipomtumia huyu mzee kwenye biashara zao. I see an opportunity for both, huyu mzee na kampuni itakayomtumia.

Angalizo tu ni kwamba makampuni hayo wasimtumie na kumtelekeza. Apewe counseling na kama kweli ni. alcohol addict ashauriwe.

je akifanya tangazo la bia/konyagi

nimewaza tu
 
Huyu jamaa ukiingia youtube yuko number #1 on trending for five days now. Nitashangaa makampuni mbalimbali ya kibiashara na watu wa marketing wasipomtumia huyu mzee kwenye biashara zao. I see an opportunity for both, huyu mzee na kampuni itakayomtumia.

Angalizo tu ni kwamba makampuni hayo wasimtumie na kumtelekeza. Apewe counseling na kama kweli ni. alcohol addict ashauriwe.
Contact za Mzee tunazipata wapi
 
Yuko juu
IMG_3953.jpg
 
Back
Top Bottom