Brands za biashara/products zilizofeli hapa Tanzania

Brands za biashara/products zilizofeli hapa Tanzania

'KK Sukari kijiko kimoja' ivi ipo?. Ilikua product ya MO kama sikosei

Na baazi ya locals Clothing Brand kama; Gagwe Gear, KP Wear, Kiraka nk
 
mimi nadhani hata jina lenyewe lilichangia biashara kufeli
maji yaitwe jaydee kweli!!!!
Tatzo hakuwa kibiashara ila kujitangaza jina, unajua hata kuchagua brand inahitaj uelewa mpana sana, biashara znafail sana kutokana na brand names.
 
Mobitel,
Maziwa ya Cowbell,
Uhuru gazeti,
Fbme bank
Mobitel si ndio hawa jaza ujazwe, walibadili jina 2006 hv kama sijakosea,cowbell mpaka leo yapo tena saa hv wanapaki mpaka kilo na zaidi achilia mbali vile vya mia mia.
Fbme bado wapo kama walivyokuwa,tatizo tu sio benki ya watu wengi kama wakina nmb.
 
Pen za BIC hazipo kama zaman..nakumbuka kwenye mtihani kama huna pen ya BIC hufanyi pepa
Matairi ya general tyre...mi nakumbuka tu tangazo lao japo tulikuwa hatuna gari..yeyeyeyeyee huu ni mkosi kabambe, sina supana sina jeki...
 
Hello

Inasemekana out of 10 new businesses 9 of them fail within their first year, kwa kauchunguz kangu hizi ndo brands/bidhaa zilizokuwepo hapa tanzania lakini sasa hivi hazipo tena sokoni, au hata kama zipo ni kwa uchache sana

1)Sabuni ya tesa ultra
2)Sabuni ya revola
3)Dawa ya meno ya "Aha"
4)Gazeti la Taifa Letu
5) Gazeti kama sema usikike, acha umbeya, lete raha
6)Lotion ya jambo
7) Product ya jusi cola ile ya unga
8)Soda ya mirinda na jay dee drinking water

Kama nimekosea mahali naomba nirekebishwe na kama kuna product zingine zilizofeligi naomba zitajwe na tu-discuss sababu ya biashara/brand kufeli ni nini?
Juice cola ipo nyingi tu kila mahali
 
Back
Top Bottom