Brands za biashara/products zilizofeli hapa Tanzania

'KK Sukari kijiko kimoja' ivi ipo?. Ilikua product ya MO kama sikosei

Na baazi ya locals Clothing Brand kama; Gagwe Gear, KP Wear, Kiraka nk
 
Hisoap sabuni ilikuwa inatengenezwa Mbeya. Juisi Cola bado zipo.
 
mimi nadhani hata jina lenyewe lilichangia biashara kufeli
maji yaitwe jaydee kweli!!!!
Tatzo hakuwa kibiashara ila kujitangaza jina, unajua hata kuchagua brand inahitaj uelewa mpana sana, biashara znafail sana kutokana na brand names.
 
Mobitel,
Maziwa ya Cowbell,
Uhuru gazeti,
Fbme bank
Mobitel si ndio hawa jaza ujazwe, walibadili jina 2006 hv kama sijakosea,cowbell mpaka leo yapo tena saa hv wanapaki mpaka kilo na zaidi achilia mbali vile vya mia mia.
Fbme bado wapo kama walivyokuwa,tatizo tu sio benki ya watu wengi kama wakina nmb.
 
Pen za BIC hazipo kama zaman..nakumbuka kwenye mtihani kama huna pen ya BIC hufanyi pepa
Matairi ya general tyre...mi nakumbuka tu tangazo lao japo tulikuwa hatuna gari..yeyeyeyeyee huu ni mkosi kabambe, sina supana sina jeki...
 
Juice cola ipo nyingi tu kila mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…