Brandy ????

Brandy ????

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
18,150
Reaction score
9,255
wataalum wa afya naombeni msaaada wenu hapa
kwa muda wa siku tatu nilikuwa na mafua makali
kichwa kilikuwa kinaniuma, blocking nose, koo lime
kauka na linakwaruza kila nilikila chochote..
binafsi napenda kunywa Spirits every now and then..

jana nikachukua kama shots tano za Brandy
(Chatelle Rare old french Brandy) leo
koo limefunguka, pua imeachia upande mmoja
nimeanza kunusa na kupata ladha ya chakula..
Je Brandy ni dawa ya mafua au ni nini tena??

Asanteni sana
AD
 
hiyo ni nusu dozi, kamilisha dozi yako kwa kitimoto nusu kilo, iwe kavu yenye kachumbari nyingi yenye ndimu, sio vinegar
 
Andikia paper halafu ndo tujadili...
 
Back
Top Bottom