Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Hivi viongozi kutosifiwa ndiyo chanzo cha wao kuvurunda? Kama ni chanzo au sababu mojawapo, basi tuanze kampeni ya kuwasifia!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusisahau kwamba ingawa maneno ya katibu mkuu wa UN ni mema kwa nchi yetu, huyu Ban Ki-Moon ni mwanamtandao.
Mkuu heshima mbele,
Baada ya kuiona tu hii Yaani hiii imebidi nim-forwadie Muungwana na Mama Migiro, na Prof. Migiro(Mume), yaani ahsante mkuu wangu for making my day! Hii nimeamua kui-frame kabisa maana ni ya kwanza humu forum na aina yake, bravo mkuu!