Tusisahau kwamba ingawa maneno ya katibu mkuu wa UN ni mema kwa nchi yetu, huyu Ban Ki-Moon ni mwanamtandao.
Mkuu heshima mbele,
Baada ya kuiona tu hii Yaani hiii imebidi nim-forwadie Muungwana na Mama Migiro, na Prof. Migiro(Mume), yaani ahsante mkuu wangu for making my day! Hii nimeamua kui-frame kabisa maana ni ya kwanza humu forum na aina yake, bravo mkuu!