Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
Kama baada ya dk hizo Simba wangefungwa ungekuwa na ujasiri wa kuandika kuwa CS Faxien wamebebwa? dk zilizoongezwa ni kwa ajili ya Simba tu?Mmmh!
Hapana, leo Simba kimtindo tumebebwa.
Kwa ile game ilivyochezwa, kuongezwa dakika 7 ilikuwa too much. Okay hiyo sio issue kubwa (labda ni jukumu la kamisaa), sasa zile dakika 7 zilipokwisha ilipaswa kipinga kipigwe kumaliza mpira (maana hakukuwa na ucheleweshaji wowote wa mpira), sasa Refa kuendelea tu kuchezesha mpira hata baada ya zile dakika 7 kwisha pasipo timu kujulishwa mpira utaisha dakika ya ngapi ile sio sahihi.
Mmmh!

Muda mwingine msipende kuonekana wema kwenye hakuna..Mmmh!
Hapana, leo Simba kimtindo tumebebwa.
Kwa ile game ilivyochezwa, kuongezwa dakika 7 ilikuwa too much. Okay hiyo sio issue kubwa (labda ni jukumu la kamisaa), sasa zile dakika 7 zilipokwisha ilipaswa kipinga kipigwe kumaliza mpira (maana hakukuwa na ucheleweshaji wowote wa mpira), sasa Refa kuendelea tu kuchezesha mpira hata baada ya zile dakika 7 kwisha pasipo timu kujulishwa mpira utaisha dakika ya ngapi ile sio sahihi.
Tumia akili kufikilia. Umepewa na mfano hapo juu na memba mmoja kuwa kuna mechi imeongezwa dakika 4 zingine baada ya dakika za nyongeza. Na hapo unasemaje?Mmmh!
Hapana, leo Simba kimtindo tumebebwa.
Kwa ile game ilivyochezwa, kuongezwa dakika 7 ilikuwa too much. Okay hiyo sio issue kubwa (labda ni jukumu la kamisaa), sasa zile dakika 7 zilipokwisha ilipaswa kipinga kipigwe kumaliza mpira (maana hakukuwa na ucheleweshaji wowote wa mpira), sasa Refa kuendelea tu kuchezesha mpira hata baada ya zile dakika 7 kwisha pasipo timu kujulishwa mpira utaisha dakika ya ngapi ile sio sahihi.
mPira huujui kojoa ukalale,umeanza kushabikia mpira baada ya kuona mumeo anapenda mpira,muulize mumeo kama marefa kuongeza dakika ni tatizo?Mmmh!
Hapana, leo Simba kimtindo tumebebwa.
Kwa ile game ilivyochezwa, kuongezwa dakika 7 ilikuwa too much. Okay hiyo sio issue kubwa (labda ni jukumu la kamisaa), sasa zile dakika 7 zilipokwisha ilipaswa kipinga kipigwe kumaliza mpira (maana hakukuwa na ucheleweshaji wowote wa mpira), sasa Refa kuendelea tu kuchezesha mpira hata baada ya zile dakika 7 kwisha pasipo timu kujulishwa mpira utaisha dakika ya ngapi ile sio sahihi.
Ni scenario mbili tofauti mzee,Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa Washabiki wa CS Sfaxien wa hapa nchini ambao hawajui sheria za mpira kwamba ni lazima mpira uchezwe dk zote 90.Na pia hajui kuwa dk zinazoongezwa huwa ni kwa timu zote mbili.Simba pia wamewahi kufungwa goli na Wydad dk ya 95 wakati dk zilizoongezwa zilikuwa 4.Tazama mechi kati ya Bravo vs Constatine, dk zilizoobgezwa ni 4 lakini mpira umechezwa hadi dk ya 8
Kwani hizo dakika ziliongezwa kwa simba pekee icheze ili ipate goli au kwa timu zote?Okay hiyo sio issue kubwa (labda ni jukumu la kamisaa), sasa zile dakika 7 zilipokwisha ilipaswa kipinga kipigwe kumaliza mpira (maana hakukuwa na ucheleweshaji wowote wa mpira), sasa Refa kuendelea tu kuchezesha mpira hata baada ya zile dakika 7 kwisha pasipo timu kujulishwa mpira utaisha dakika ya ngapi ile sio sahihi.
Komaa nao mwanangu me nalala! wape record mpaka waseme afu mbn hao sio waarabu hao ni magwagwa ya jangwaniWanajisahau sanaView attachment 3177609
Kateni rufaa.Ni scenario mbili tofauti mzee,
Mechi ya Bravo, zimeongezwa dakika 4 na Bravo wakapata goli ndani ya hizo dakika 4 za nyongeza. Goli lilifungwa dakika 3 na sekunde zake hivyo dakika 4 inaingia tayari Bravo wanagoli. Kitendo cha refarii kupeleka mpira hadi dakika ya 7 anayeona hatendewi haki ni Bravo ila Constantine wao wanatamani zifike hata dakika 10 ili mradi wasawazishe.
Mechi ya Simba, kuna dakika 2+ zilizoongezeka hadi goli kufungwa
Kama ziliongezwa nne na goli lilifungwa dk ya 3, refa alishindwa vipi kumaliza mchezo mara tu baada ya mpira kuanza kama ilivyotokea kwenye mechi ya Mazembe vs Yanga? Nimeuliza hizo dk ziliongezwa kwa Simba tu? Iwapo CS Faxien wangefunga kwenye dk zilizoongezwa ungekuwa na ujasiri wa kusema CS Faxien wamebebwa?Ni scenario mbili tofauti mzee,
Mechi ya Bravo, zimeongezwa dakika 4 na Bravo wakapata goli ndani ya hizo dakika 4 za nyongeza. Goli lilifungwa dakika 3 na sekunde zake hivyo dakika 4 inaingia tayari Bravo wanagoli. Kitendo cha refarii kupeleka mpira hadi dakika ya 7 anayeona hatendewi haki ni Bravo ila Constantine wao wanatamani zifike hata dakika 10 ili mradi wasawazishe.
Mechi ya Simba, kuna dakika 2+ zilizoongezeka hadi goli kufungwa
Yaani walivyokuwa wanajiangusha hovyo haukuona hadi unaongea hivo?Mmmh!
Hapana, leo Simba kimtindo tumebebwa.
Kwa ile game ilivyochezwa, kuongezwa dakika 7 ilikuwa too much. Okay hiyo sio issue kubwa (labda ni jukumu la kamisaa), sasa zile dakika 7 zilipokwisha ilipaswa kipinga kipigwe kumaliza mpira (maana hakukuwa na ucheleweshaji wowote wa mpira), sasa Refa kuendelea tu kuchezesha mpira hata baada ya zile dakika 7 kwisha pasipo timu kujulishwa mpira utaisha dakika ya ngapi ile sio sahihi.
Kwani hujui kama mchezo wa kubet unachezwa na wengi ikiwemo makocha, marefa na wachezaji? Trend ya matukio ilikuwa inaonesha wazi kuwa Constantine ndiye atakayeshinda mchezo..... na kitendo cha kupindua meza kibabe magoli mawili refa akaona mkeka unatiki huu. Ilivyoingia goli kwa Bravo kumemchanganya ikabidi asikilizie.....Kama ziliongezwa nne na goli lilifungwa dk ya 3, refa alishindwa vipi kumaliza mchezo mara tu baada ya mpira kuanza kama ilivyotokea kwenye mechi ya Mazembe vs Yanga? Nimeuliza hizo dk ziliongezwa kwa Simba tu? Iwapo CS Faxien wangefunga kwenye dk zilizoongezwa ungekuwa na ujasiri wa kusema CS Faxien wamebebwa?
Maelezo mengi lakini pumba tupu, una ushahidi upi wa refa kubeti? Refa angetabiri vipi Simba wanaweza kufunga goli dk mbili zijazo wakati wameshindwa kufunga zaidi ya dk 70 zilizopita? Refa ana stop watch kufuatilia matukio, wewe shabiki wa utopolo pia ulikuwa na stop watch kumoniter matukio kwenye mechi ya Simba? mbona unajitesa sana? Hii mechi ya Yanga vs Azam pia ulikuwa na stop watch pia?Kwani hujui kama mchezo wa kubet unachezwa na wengi ikiwemo makocha, marefa na wachezaji? Trend ya matukio ilikuwa inaonesha wazi kuwa Constantine ndiye atakayeshinda mchezo..... na kitendo cha kupindua meza kibabe magoli mawili refa akaona mkeka unatiki huu. Ilivyoingia goli kwa Bravo kumemchanganya ikabidi asikilizie.....
Ni sawa sawa na refa aliyechezesha mechi ya Simba... Kaona move ya goli kwa Simba na Che Melon kaishaachwa akapuliza filimbi ya faulo badala ya kuacha advantage. Che Melon ni mtu wa mwisho na amefanya faulo ya makusudi kuzuia mpinzani kufunga lakini kampa njano badala ya Red.
Dakika zimeongezwa 7 na bahati nzuri ndani ya zile dakika 7 hakuna mchezaji wa CS Sfaxien aliyedondoka wala wa Simba, mpira muda wote langoni mwa CS Sfaxien tu hakuna kumpumzika, lakini refa zinafika dakika 8 yeye anachezesha tu na hata dalili ya kuangalia saa hana, aliibetia Simba yule.
Dakika huwa ni za wote lakini kwenye mpira yule anayenufaika na sare au ushindi, anatamani mpira uishe chap tu.