britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Fafanua japo kidogo mkuu , brasil amebwebwaje?Brazil wa kubebwa
Walibebwa vipi?."Brazil will be champion,there is no doubt,This cup is rigged for Brazil,Peru have the team to dream,But i don't know if they will let them"
- Lionel MESSI.
Toa maelezo,walibebwa ki vipi?..Kuna magoli Yalifungwa halali yakakataliwa?wamebebwa sana maboya hayo mpaka imeboa ujinga mtupu bora hata Africa
Kamuulize Messi.Walibebwa vipi?.
Sasa iyo quote umeleta ya nini?..Kamuulize Messi.
Mechi na Argentina iko wazi kabisa upumbavu mtupu bora wangeachana na VAR kabisa kuliko kuweka halafu hawataki kuangaliaToa maelezo,walibebwa ki vipi?..Kuna magoli Yalifungwa halali yakakataliwa?
Copa AMAERICA Wamedhihirisha upuuzi wa VAR! Tukio linatokea Mechi inaendelea kwa kwa dk takribani tatu then refa ndio anashtuka kwenda kuchungulia inaondoa utamu wa Mpira kabisa.Mfano Mechi ya Juzi Chile na Argentina!Mechi na Argentina iko wazi kabisa upumbavu mtupu bora wangeachana na VAR kabisa kuliko kuweka halafu hawataki kuangalia
Wewe ulitaka iwe ya nini?Sasa iyo quote umeleta ya nini?..
Sasa Chile vs Argeintina Brazili anaingiaje humo? Muwe mnafafanua basi mnaandika vitu nusunusu sanaCopa AMAERICA Wamedhihirisha upuuzi wa VAR! Tukio linatokea Mechi inaendelea kwa kwa dk takribani tatu then refa ndio anashtuka kwenda kuchungulia inaondoa utamu wa Mpira kabisa.Mfano Mechi ya Juzi Chile na Argentina!