Brazil Bingwa Copa America

Brazil Bingwa Copa America

Mechi na Argentina iko wazi kabisa upumbavu mtupu bora wangeachana na VAR kabisa kuliko kuweka halafu hawataki kuangalia
Copa AMAERICA Wamedhihirisha upuuzi wa VAR! Tukio linatokea Mechi inaendelea kwa kwa dk takribani tatu then refa ndio anashtuka kwenda kuchungulia inaondoa utamu wa Mpira kabisa.Mfano Mechi ya Juzi Chile na Argentina!
 
Sasa Chile vs Argeintina Brazili anaingiaje humo? Muwe mnafafanua basi mnaandika vitu nusunusu sana
 
Kituo kinachofuata World Cup 2022,Bara la Asia ni sehemu nzuri na mujarabu Brazil kuchukulia World Cup
 
Back
Top Bottom