Brazil Global Tour

Brazil Global Tour

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Mechi za kirafiki za Brazil baada ya kuchezea kichapo kwa Argentina, suluhu na Panama naona wana kipiga na akina Son, Korea ya Kusini.

Son alipiga bunge la shoot ila nyanda kaliona

Coutinho kapiga bonge la goal, na kinda Pacqueta lililopewa jezi ya legendaries #10 la Neymar Jr nalo limetupia header matata sana.

Kabumbu linaendelea...
 
Back
Top Bottom