Brazil imechoka na corona, imeamua kufungua kila kitu ikiwemo shule, migahawa nk

Brazil imechoka na corona, imeamua kufungua kila kitu ikiwemo shule, migahawa nk

Mengi aliyoyasema Magufuli mwanzoni kabisa kuhusiana na COVID-19 ndio tunakuja kuyasikia hivi sasa.

Na cha ajabu sisi tunaotegemea vyombo vya habari vya wamagharibi walikuwa hawamuongelei Magufuli hata kidogo.

Alipokufa ndio wakajifanya kutangaza eti COVID-19 ndio iliyomuondoa, baada ya hapo hawakutaka kabisa kumuongelea.

Magufuli aliwanyima amani kutokana na msimamo wake dhidi ya COVID-19
 
Back
Top Bottom