BRAZIL inaenda kuwa bingwa wa Kombe la Dunia 2022

BRAZIL inaenda kuwa bingwa wa Kombe la Dunia 2022

ni swala la muda tu mkuuu ila kwa brasil hii hapana mzee hatoboi
 
Natabiri.
German, Belgium au Senegal mmoja wapo anajitwisha ndoo
 
WAZEE WA SAMBA BALL ,Ni miaka 20 iliyopita tokea brazil itwae kombe la dunia kwenye ardhi ya japan na korea ikiwa na nyota pendwa Ronaldo de lima,rivaldo,cafu,zee la mashuti Roberto Carlos,dida,gilbeto silva,bila kumsahau ronaldinho gaucho,hakika brazil ni taifa lililojaliwa vipaji lukuki vya soka toka soka linaanzishwa,kwa miaka za hivi karibuni brazil imekuwa ikifanya uzembe kwa kutotwaa makombe pendwa na hii imewafanya mashabiki wailaumu sana ,ukiangalia brazili ni taifa ambalo % kubwa wachezaji wengi wanacheza ulaya tena vilabu vikubwa vinavyocheza ligi kubwa epl,laliga,seria A,nk,tokea brazil ifahamike inajua soka na vipaji vya hali ya juu wachezaji wamekuwa wakilewa sifa kwa kiasi kikubwa na hii ikipelekea kupoteza mechi mfano ukiangalia nyota wa sasa neymar ni mchezaji mzur na kipaji kikubwa kinachomharibu ni utoto wake,sasa kuelekea world cup 2022 safari hii brazil imepania hawatafanya uzembe na kulewa sifa kama miaka iliyopita ,ukiangalia takwimu brazili toka mechi za kufuzu zianze kule America kusini brazili kashinda mechi 24 kati ya 27 na sare 3 na ameongoza kundi ,hivyo safari hii inashauku na nia ya kufanya vizuri na kutwaa taji. Ngoja tusubiri
Hicho sicho kipimo kwani kwenye mechi za mtoano anaweza akafungwa na yeyote na ikawa kwa heri maanake hiyo waga ni mechi moja tu.
 
Kuna team toka ulaya itashinda world cup na ni France au England take a comment
 
Hili kombe linaenda kwa wajerumani.
Wamekamilika kila idara na wancheza kama team.

Neuar
 
Kule Tuna Fundi Bishoo , mtaalamu wa Mpira kipenzi cha watoto wa Kike Neymar Jr huyu hana mfanowe

Kule kuna Fundi mwingine mtaalamu wa kuweka mpira mguuni ., akikupa pasi kam hujui mpira basi hutulizi Ufundi mwingi sana yeye mwenyewe anaitwa Paqueta.

Mabawa ya wings za hatari nikieleza hapa ntaonekana Mtunga Riwaya ..Vini Jr moto wake mnaujua pale madrid, Richarlison, Antony mchawi wa mpira kutoka Ajax

Hapo sijaja huku nyuma , kocha hajui ampange nani???

#Brazil bingwa asee
Kabisa
 
KIZAZI CHA SHETANI, KIZAZI CHA UTABIRI, KIZAZI CHA UNAJIMU.

VIJANA WA KUBETI.

AIBU YAKO
 
KIZAZI CHA SHETANI, KIZAZI CHA UTABIRI, KIZAZI CHA UNAJIMU.

VIJANA WA KUBETI.

AIBU YAKO
Kuna Ardhi kuna Mbingu.
Kuna usiku kuna mchana.
Huku mwanamke na huku mwanaume.
Kuna mwezi kuna Jua.

Kuna vitu ni Siri vingine hata huambiwi kua ni Siri hadi mwenyewe uamue kuvifanya kua Siri ndio hubakia daima na milele kua Siri.
 
Back
Top Bottom