BRAZIL: Mtanzania, Felix Alphonce Simbu ashika nafasi ya 5 katika Marathon za Olimpiki

Juu
Kwa nafasi hio labda apewe medali ya copper.
Hahahaha
 
.....we differ... Kwangu mi kuwa wa 1,2 ama 3 ndio big deal...kwangu ku

Mzawa, nadhani tutakubaliana kwamba kuwa wa 1,2, au 3 ni bora kupita wa 5. Hilo halina mjadala.
Je utakubaliana nami pia kwamba kutoka 0 na kuja kuwa wa 5 sio jambo la kujivunia?
 
Wewe ni tajiri? Imekuwaje Forbes haumo?
 
Wewe ni tajiri? Imekuwaje Forbes haumo?

Unajitaji kufikiri kabla ya kuongea kijana. Utajiri wewe umepeleka kwenye pesa tu?

Kwanza tafuta maana ya neno tajiri ndiyo uje uandike ujinga wako wapo.

Unaonyesha uwezo wako mdogo sana
 
Acha excuses za kijinga. Kama utajiri sio pesa ni nini? Au hizi porojo zako ndo utajiri? Usijifanye unaelewa kupitiliza.
Unajitaji kufikiri kabla ya kuongea kijana. Utajiri wewe umepeleka kwenye pesa tu?

Kwanza tafuta maana ya neno tajiri ndiyo uje uandike ujinga wako wapo.

Unaonyesha uwezo wako mdogo sana
 
Ukiwa na Pombe "kichwani" kupata Suluhu ni Majaliwa. huwezi shinda mchezo
aaaahahahahahahhaa we jamaaa huu ujumbe wako atakayeuelewa ni mwenye uwezo wakufikiri zaidi ya jitihadi zinazotumika kwa kiwango cha Olimpic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…