kinyoba
JF-Expert Member
- Jun 2, 2011
- 1,267
- 720
Juu
Mtanzania Alphonce Simbu ashika nafasi ya 5 Marathon Olympics, haijapita kutokea.
Juma Ikangaa aliwahi kushika nafasi ya 6. Mtangazaji alisema they say in Tanzania Hapa Kazi Tu!!
Kumbe slogan ya JPM imesambaa ulimwengu mzima. Congrats Simbu
View attachment 385364
ALPHONCE FELIX SIMBU NA WENZAKE WATAWASILI TANZANIA TAREHE 25 AUGUST, SIKU YA ALHAMISI SAA NANE KAMILI MCHANA.
Tangu 1964 kwenye olympic ni mara ya kwanza Mtanzania kushika namba tano.
HahahahaKwa nafasi hio labda apewe medali ya copper.