Bruno Guimarāes anastahili kuanza hapo kati na Casemiro.Hi ladies & Gentlemen,
Welcome to Brazil National Football Team special thread....
Mkuu unazungumziaje Roberto firmino (Bobby) kutochaguliwa ?Bruno Guimarāes anastahili kuanza hapo kati na Casemiro.
Aaah wap ARGENTINA akijitahid sana robo fainaliNi zamu ya agerntina
Kwa factor hz naweza kukubaliana na wwNadhan kocha kaona kwa namna anavyotaka kucheza Bobby sio muhimu kwake
Nadhan anaona Jesus kwa ile false 9 anaimudu vizur sana wengine watafanya kaz ya kumalza ndio namuona Neymar 10 pale akirekebsha makosa
Huku pembeni Vini akifanya yake pia kwa upande wangu sioni pengo la Bobby.