Brazil National Football Team (Selecao Brasileira de Futebol) Special thread

Brazil National Football Team (Selecao Brasileira de Futebol) Special thread

ago49-su2xu.jpg
 
Kwa mwenendo wa hii team ya Brazil ni wazi kuna kila dalili ikaishia kwenye makundi hii copa America,Team haina morali kabisa, hii Generation ya Kina Vini na wenzake hata hiyo world cup ya 2026 wana hati hati ya kuikosa

Yani brazil anapata sare na Costarica?, akija kukutana na Colombia ameisha
 

Attachments

  • hq720.jpg
    hq720.jpg
    60.5 KB · Views: 3
Hii ni list ya wachezaji 50+ wa brazil ambao wanatakiwa 23 pekee kwa ajili ya michezo miwili ya Colombia & Argentina,

Kocha wa Brazll kazi anayo
 

Attachments

  • 1740939490600.jpg
    1740939490600.jpg
    576.8 KB · Views: 1
  • 1740939496484.jpg
    1740939496484.jpg
    594.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom