Umekojolewa ngapi Bibie?Brasil wachumba tu
Huyo Richarlson ni mtu hatari mnoo.
Mtu mbad😍
Samba boys wa world cup hii wako kwenye form balaaHii timu ilipopigwa wiki tena nyumbani ndipo niliacha kuishabikia
Leo anacheza na SwitzerlandMechi inayofata tunacheza na nani?
Best goal of world cup So far.....Huyo Richarlson ni mtu hatari mnoo.
Hilo goli alilolifunga jana limekaa kikatili sana.