Kwa mwenendo wa hii team ya Brazil ni wazi kuna kila dalili ikaishia kwenye makundi hii copa America,Team haina morali kabisa, hii Generation ya Kina Vini na wenzake hata hiyo world cup ya 2026 wana hati hati ya kuikosa
Yani brazil anapata sare na Costarica?, akija kukutana na Colombia ameisha