Brazil out Copa America

2006 Walitolewa na France. 2010 ndiyo walitolewa na Netherlands, kisha 2014 Germany akafanya yake.
Shit!How come nimesahau hii kitu?
Tena France walifika fainali ambapo walifungwa na Italia na hii ni baada ya The Legend Zidane kupewa kadi nyekundu kwa kumpiga kichwa Marco Materazzi.
Uwiiiiii nimekumbuka machungu maana nililia sana, [emoji24] [emoji24] [emoji24] lile kombe lilikuwa letu aiseee (France)
Asante kwa kuweka kumbukumbu sawa mkuu,ubarikiwe.
 
Barikiwa pia mkuu
 
Kwani Ajabu? Je ingetolewa "Albiceleste Man" ingekuwaje? Ladha ingepungua mno kwenye michuano iyo


Vivaaa AlbicelesteMan

Vivaaa BachelonaMan
 
mpira wa siku hizi hauna adab... watu wanapiga move na wanakufunga hata na mkono mradi utoke tu
 
I believe in joga bonito..naamin wakijipanga watarud mchezon tu..dunga amepoteza spirit ya sambaboyz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…