Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Shit!How come nimesahau hii kitu?2006 Walitolewa na France. 2010 ndiyo walitolewa na Netherlands, kisha 2014 Germany akafanya yake.
Tena France walifika fainali ambapo walifungwa na Italia na hii ni baada ya The Legend Zidane kupewa kadi nyekundu kwa kumpiga kichwa Marco Materazzi.
Uwiiiiii nimekumbuka machungu maana nililia sana, [emoji24] [emoji24] [emoji24] lile kombe lilikuwa letu aiseee (France)
Asante kwa kuweka kumbukumbu sawa mkuu,ubarikiwe.