Brazil to play Tanzania in a friendly

Brazil to play Tanzania in a friendly

Timu zote mbili zishaingia uwanjani wanapasha hapa, Brazil wako full mkoba isipokuwa kipa Julio Cesar na hata Robinho simuoni. The stadium is half empty japo kasi ya watu kuingia inazidi kuongezeka kadiri tunapokaribia kuaanza mechi hapo saa 12 jioni, may prediction Brazil 1 Taifa Stars 2
 
Keep on dreaming mkuu
 
Ribinho kumbe yumo nilikuwa sijamuona si unajua mfupi so anamisss kipa tu ambaye ana back pain kabaki SA kwa matibabu na special training uwanja unazidi kujaa
 
Leo raha tupo hapa uwanjani mpaka Big Screen iko hewani kwa sasa inaonyesha recrded mechi za Tafa Stars dhidi ya Msumbiji, Cameroon n.k ama kweli leo tunacheza na Brazil
 
Teh teh teh England wanatolewa jasho hapa na Platinum Stars....kosa la Glen Johnson vijamaa vimekosa penalty....eNGLAND VIBONDE
 
nia kubwa ilikuwa kutangaza nchi sasa mbona sijaona coverage ya Brazil kufika bongo kwenye vyombo vya habari?
 
no Wayne Rooney in England's starting XI at the Moruleng Stadium.
 
Back
Top Bottom