Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
mechi inaanza sa ngapi wakuu???
Timu zote mbili zishaingia uwanjani wanapasha hapa, Brazil wako full mkoba isipokuwa kipa Julio Cesar na hata Robinho simuoni. The stadium is half empty japo kasi ya watu kuingia inazidi kuongezeka kadiri tunapokaribia kuaanza mechi hapo saa 12 jioni, may prediction Brazil 1 Taifa Stars 2
Live on TV @ 1600hrs UK time, on Monday, 07 June
ESPN UK
Aljazira Sports +1.
* utabiri: TZ 0-4 Brazil ?
Haaaaa kwani netball bana?! Stars nao wako juu jamaniTaifa Stars 1 - 7 Brazil
Ngoja watangaze Wakenya tuanze kulalamania kubwa ilikuwa kutangaza nchi sasa mbona sijaona coverage ya Brazil kufika bongo kwenye vyombo vya habari?
no Wayne Rooney in England's starting XI at the Moruleng Stadium.
hapa ndio ataanza kumkumbuka na Walcott, maana hawa hasiowaapa kipaumbele ndio huwa wanamtoa Capello kimasomasoDefoe kapiga moja