Brazil to play Tanzania in a friendly

beki vipi?

mtangazaji anamwagia sifa sana mrisho ngasa na anawashauri westham wamuangalie tena .
 
kirahisi tu, 5 zinaweza fika. ila tutapata angalau kamoja!?
 
Jamani hivi kaka Sindibadi(K'wete) yuko uwajani? manake kila akiangalia mechi ya Stars matokeo kama si droo basi ni kichapo!
 

Me naupata home kwenye Aljazeera sports 1, ila jaribu software tofauti unaweza kuupata
 
Tanzania 0- Brazi 2

Nimetoka kusema hapa defence haipo makini kabisa yaani
Ndio uwezo wao ulipofikia..,please adjust your expectations.Kwa mtazamo wangu Tanzania is playing beyond their ability so far..,
 
jamaa wananizomea hapa ngoja nisepe nikanywe ulabu! Duuu heri sijapoteza 200,000/=
 
Ndio uwezo wao ulipofikia..,please adjust your expectations.Kwa mtazamo wangu Tanzania is playing beyond their ability so far..,

Mpira mzuri so far kama unavyosema ila inabidi kuwavuta mbele sio kuwaweka golini...
 
Yale yale!! Naona nguvu zetu za soda zimeisha..na Brazil sasa ndio wanaanza kuonyesha mpira wao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…