Brazil to play Tanzania in a friendly

Brazil to play Tanzania in a friendly

beki vipi?

mtangazaji anamwagia sifa sana mrisho ngasa na anawashauri westham wamuangalie tena .
 
kirahisi tu, 5 zinaweza fika. ila tutapata angalau kamoja!?
 
Jamani hivi kaka Sindibadi(K'wete) yuko uwajani? manake kila akiangalia mechi ya Stars matokeo kama si droo basi ni kichapo!
 
wakuu hizo nchi 160 zinazoshuhudia taifa stars na brazil ndo zipi? mbona huku kwangu TV hazionyeshi mpira huo? software gani wakuu naweza kuunganisha. hii ya mshikaji haifunguki radiorsitv2 on USTREAM: este canal es para todos recuerden entrar y tambien ponerlo en los favoritos desde ahora estaremos aqui en este su canal preferido ... si mnajua tena nchi zingine na internet sensorship.Lo

Me naupata home kwenye Aljazeera sports 1, ila jaribu software tofauti unaweza kuupata
 
Tanzania 0- Brazi 2

Nimetoka kusema hapa defence haipo makini kabisa yaani
Ndio uwezo wao ulipofikia..,please adjust your expectations.Kwa mtazamo wangu Tanzania is playing beyond their ability so far..,
 
jamaa wananizomea hapa ngoja nisepe nikanywe ulabu! Duuu heri sijapoteza 200,000/=
 
Ndio uwezo wao ulipofikia..,please adjust your expectations.Kwa mtazamo wangu Tanzania is playing beyond their ability so far..,

Mpira mzuri so far kama unavyosema ila inabidi kuwavuta mbele sio kuwaweka golini...
 
Yale yale!! Naona nguvu zetu za soda zimeisha..na Brazil sasa ndio wanaanza kuonyesha mpira wao!!
 
Back
Top Bottom